Bingwa - - TOP TEN TAKWIMU -

5

Bingwa wa fainali za mwakani atakuwa wa tisa tangu kuanzishwa kwa fainali hizo mwaka 1930. Brazil wamechukua mara tano, Italia na Ujerumani mara nne kila moja, Argentina na Uruguay mara mbili kila moja, England, Ufaransa na Hispania nazo zikibeba mara moja kila moja.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.