Everton yasaka mrithi wa Lukaku

Bingwa - - TOP TEN TAKWIMU -

LONDON, England

KOCHA wa Everton, Ronald Koeman, anasemekana kuwa kwenye mchakato wa kusaka straika mpya ambaye ataziba pengo la Romelu Lukaku aliyejiunga na Man Utd.

Mtandao wa ESPN ulilipoti jana kuwa mmoja wa mastraika wanaopigiwa hesabu na kocha huyo ni wa Sports Lisbon, Bas Dost.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.