Everton kumfuata Marcano Januari

Bingwa - - TOP TEN TAKWIMU -

LONDON, England

TIMU ya Everton imetangaza mpango wake wa kumfuatilia beki wa FC Porto, Ivan Marcano, wakati dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa mapema Januari, mwakani.

Gazeti la Daily Mail liliripoti jana kuwa, Everton wanamuona nyota huyo kuwa ndiye anayewafaa katika safu yao ya ulinzi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.