Wilshere kung’oka Arsenal Januari

Bingwa - - TOP TEN TAKWIMU -

LONDON, England

KIUNGO wa England, Jack Wilshere, amesema anatafakari kuitosa Arsenal wakati dirisha la usajili litakapofunguliwa mapema Januari.

Gazeti la Daily Mirror linaripoti staa huyo anataka mahali ambapo patampa nafasi ya kuitwa na kocha Gareth Southgate, kwa ajili ya fainali za Kombe la Dunia.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.