Mourinho kujitia kitanzi Man Utd

Bingwa - - TOP TEN TAKWIMU -

LONDON, England

KOCHA Jose Mourinho anasemekana kuwa tayari kusaini mkataba mpya na klabu yake ya Man Utd.

Gazeti la The Sun liliripoti jana kuwa Mreno huyo atasaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya pauni milioni 65.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.