MR KIONGOZI

Bingwa - - TOP TEN TAKWIMU -

Filamu hii ambayo inatarajiwa kutoka Jumatatu ya wiki ijayo, inamhusu mtu (Hashimu Kambi) ambaye amepewa uongozi na kujisahau kwamba cheo ni dhamana na kujikuta kila mtu akimlalamikia kutokana na tabia zake mbaya.

Imechezwa na Jennifer Kyaka, Jackline Wolper, Hashim Kambi, Hemed Suleiman, Mike Sangu na wengine wengi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.