KA KAJAMAA AKACHOKI’

Bingwa - - IJUMAA - BARCELONA, Hispania

MSIMU huu wa 2017/1 umekuwa mzuri mno kwa Lionel Messi, baada ya kuivusha Argentina kwenye fainali za Kombe la Dunia kwa kupiga ‘h trick’ katika mechi y mwisho ya kufuzu dh ya Ecuador na kushin mabao 3-1.

Pia ameisaidia Bar kukaa kileleni mwa m wa La Liga, huku akion kwamba ni mchezaji asiyechoka kwa kuche dakika zote za msimu ya kupumzika.

Mshambuliaji huyo ameongoza kwa kuch dakika nyingi ambazo 1,350, zikiwa ni mechi Kombe la Ligi la Hispa saba za La Liga, mbili ya Mabingwa Ulaya na kufuzu Kombe la Duni nchi za Amerika Kusin

Hakuna mchezaji h mmoja Ulaya ambaye amecheza dakika nyin nyota huyo wa Argenti ambapo Dani Carvajal anamkaribia mchezaji bora wa dunia mara ta kucheza dakika 990 ka ya kukumbwa na maje akiichezea klabu yake Madrid.

Dakika 990 za Mess zile alizoichezea klabu na ataongeza nyingine wikiendi hii, wakati Blaugrana wakiwa wageni wa Atletico Madrid, mechi ambay kocha Ernesto Valverd hawezi kumpumzisha

Ingawa, Messi atakuwa wa kwanza kusema kwamba hata kupumzika, ingawa anaweza kupumzishw kwenye mechi nyingine za La Liga dhidi ya Malaga itakayochezwa Oktoba 21, mwaka huu na ile ya Kombe la Mfalme dhidi ya Murcia, lakini si hii ya Atletico.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.