WENGER KUMPOZA MACHUNGU SANCHEZ

Bingwa - - MBELE - SAO PAULO, Brazil

STRAIKA wa zamani wa Brazil, Adriano, amesema kuwa ana morali ya kurudi tena dimbani na kumalizia maisha yake ya soka kwa mafanikio licha ya umri wake kumtupa mkono.

Mshambuliaji huyo wa zamani wa Inter Milan, mwenye umri wa miaka 35 na kuichezea Brazil kati ya mwaka 2000 na 2010, hajaonekana uwanjani tangu alipoichezea klabu ya Miami United kwa muda mfupi mwaka jana.

“Ninajiandaa kurudi na Januari nitaanza kufanya mazoezi. Naona mwili wangu umeanza kurudi vizuri na ninahitaji kurudi tena kucheza soka.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.