Wilshere kung’oka Arsenal Januari

Bingwa - - SPORTS EXTRA -

LONDON, England

STAA wa Man Utd, Juan Mata, amekataa kwenda kujiunga na timu zinazocheza Ligi Kuu ya China, Chinese Super League.

Gazeti la Daily Mirror liliripoti jana kwamba, staa huyo alikuwa akitajwa kwenda China wakati wa usajili wa majira ya baridi yajayo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.