HAWA HAPA WANAOMPA JEURI MOURINHO OLD TRAFFORD

Eti Aguero ‘atarudi’ dimbani kesho

Bingwa - - MISIMAMO RATIBA - MONROVIA, Liberia

NYOTA wa zamani wa klabu za Chelsea na Manchester City, AC Milan na PSG, aliyewahi kuweka rekodi ya kuwa Mwafrika wa kwanza kutwaa tuzo ya Ballon d’Or, George Weah, anakaribia kuwa rais wa taifa la Liberia.

Straika huyo aliwahi kutwaa mataji lukuki akiwa na Milan, PSG na Monaco, pia akilitumikia taifa lake la Liberia katika mechi 60.

STRAIKA matata Sergio Aguero, huenda akawashtukiza wengi kwa kurudi dimbani wikiendi hii wakati timu yake ya Man City itakapovaana na Stoke.

Muargetina huyo alivunjika mbavu siku 12 zilizopita katika ajali ya taxi iliyogonga nguzo ya taa mjini Amsterdam, Uholanzi na hadi kufikia jana ripoti za uhakika zilikuwa zikisema tarehe rasmi ya kurudi kwake haijajulikana.

Mapema wiki hii, Aguero alikuwepo kwenye mazoezi ya City na mtandao wa Daily Mirror ulidai kuwa huenda akawa tayari kurudi uwanjani.

Maisha yake ya zamani ya soka yamemsaidia sana. Waliberia wanakumbuka mengi mazuri kutoka kwake. Zamani alilisaidia taifa, akaziwezesha hospitali, alitoa

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.