NAVAS HATARINI KUWAKOSA TOTTENHAM

Bingwa - - SPORTS EXTRA - MADRID, Hispania

KUTOKANA na jeraha lililompata wakati anaitumikia timu yake ya taifa ya Costa Rica, mlinda mlango..

KUTOKANA na jeraha lililompata wakati anaitumikia timu yake ya taifa ya Costa Rica, mlinda mlango, Keylor Navas, huenda akaukosa mtanange wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Tottenham wiki ijayo.

Kitu pekee kilichotarajiwa ni kwamba, Navas angepumzishwa dhidi ya Getafe wikiendi hii kwenye La Liga lakini kutokana na kuvimba kwa msuli wa paja lake la kulia ina maana atatakiwa kupumzika zaidi.

Real Madrid walithibitisha ishu hiyo jioni ya juzi Jumatano, wakiripoti kuwa nyota huyo alifanyiwa vipimo kwenye Hospitali ya Chuo Kikuu cha Sanitas La Moraleja mj

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.