>>LEO KATIKA HISTORIA

Bingwa - - HABARI -

LEO ni Novemba 11 ambayo ni siku ya 315 katika mwaka mfupi na siku ya 316 katika mwaka mrefu, zimebaki siku 50 kabla ya mwaka huu kumalizika. Mara nyingine tarehe hii ya mwezi kama huu huangukia siku za Jumatano, Ijumaa ama Jumapili, lakini leo hii ni Jumamosi. SIKU kama ya leo mwaka 1983 alizaliwa mwanasoka wa zamani wa timu ya Bayern Munich na ya Taifa ya Ujerumani, Philipp Lahm. Mkongwe huyo anakumbukwa kwa kuziongoza vyema timu hizo akiwa nahodha ambapo aliiwezesha Bayern kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.