Giroud achekelea kubaki Arsenal

Bingwa - - MISIMAMO RATIBA -

LONDON, England

STRAIKA wa Arsenal, Olivier Giroud, amesema kwamba hana cha kujutia kuhusu uamuzi wake wa kubaki kwenye klabu hiyo ya Ligi Kuu England.

Kauli hiyo ya Giroud imekuja baada ya mwishoni mwa msimu uliopita kuhusishwa kuitema Gunners, lakini badala yake akaamua kubaki.

LONDON, England

STRAIKA Alvaro Morata amesema angependa kumuona Mhispania mwenzake, Isco akijiunga na Chelsea.

Kabla ya kutua Chelsea, Morata aliwahi kucheza na Isco katika kikosi cha wababe wa La Liga, Real Madrid.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.