Beki Atletico asogea Juve

Bingwa - - KOLAMU -

TURIN, Italia

KUNA kila dalili kwa Juventus kumsajili Jose Gimenez baada ya beki huyo wa kati wa Atletico Madrid kusema anataka kuondoka.

Nyota huyo raia wa Uruguay amepoteza namba kwenye kikosi cha Atletico mbele ya Stefan Savic.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.