Zimefuzu ila zitaibe Afrika Kom la Dunia 2

Bingwa - - KOLAMU -

CAIRO, Misri

BAADA ya mchuano mkali wa kusaka tiketi za fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani nchini Urusi, hatimaye Afrika imefanikiwa kukamilisha orodha ya timu tano ambazo zitaliwakilisha bara hili.

Orodha hiyo ilikamilika juzi baada ya miamba wawili wa Kiarabu Morocco na Tunisia kukata tiketi kwa kupata pointi za juu.

Katika michezo hiyo ambayo ilipigwa mwishoni mwa wiki, Tunisia walihitaji pointi moja ili kwenda kushiriki michuano hiyo na walifanikiwa kuipata kulazimisha suluhu ya bila kufungana dhidi ya timu ya Taifa ya Libya.

Suluhu hiyo iliwafanya Tunisia kufikisha idadi ya pointi 14 ambazo DR Congo wameshindwa kuzifikia, huku wakilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya timu ya Taifa ya Guinea.

Wakati Tunisia wakikata tiketi yao katika mazingira hayo, Morocco kwa upande wao walikata tiketi kuelekea kombe la dunia baada ya kuwafunga Ivory Coast kwa jumla ya mabao 2-0, katika mchezo uliokuwa wa kuamua nani wa kwenda kushiriki fainali hizo kutoka Kundi C.

Katika mchezo huo, alianza Nabir Dirar kuwapa wageni bao la kuongoza ikiwa ni dakika ya 25, wakati Ivory Coast wakijipanga kusawazisha dakika 5 baadaye Mehdi Benatia aliwapa wageni bao la pili lililowahakikishia tiketi kuelekea Urusi.

Kwa matokeo hayo sasa, yanaifanya Afrika kukamilisha idadi ya washiriki 5 katika kombe la dunia ambao ni Misri, Nigeria, Senegal, Tunisia na Morocco. Sasa swali lililobaki ni je zitaweza kupeprusha vyema bendera za Afrika?

*Wasifu wa kila timu katika fainali hizo

Misri

Hii itakuwa ni mara ya nne kwa Misri kushiriki fainali hizo, baada ya kushiriki mwaka 1934 , 1990 na 2018.

Rekodi kubwa iliyopo kwa timu hiyo ni kwamba iliweza kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kushiriki katika fainali hizo baada ya kufanya hivyo mwaka 1934.

Hata hivyo, haikuweza kufanya vizuri baada ya kuambulia kipigo cha mabao 4-2 dhidi ya Hungary.

Timu hii inashika nafasi ya 30 kwenye orodha ya Fifa ikiwa nafasi moja chini ya Uholanzi. Hawakufuzu michuano ya 2010 na 2014 baada ya kushindwa mechi za mtoano baada ya hatua ya makundi.

Ufanisi wao mkubwa karibuni ni mwaka 2010 waliposhinda Kombe la Mataifa ya Afrika mara yao ya saba.

Nigeria Hii itakuwa mara ya sita kwa Nigeria kushiriki fainali za Kombe la Dunia na mara ya tatu mfululizo.

Wamefika hatua ya 16 bora mara tatu; mwaka 1994, 1998 na 2014, lakini hawajawahi kupita hatua hiyo.

Hata hivyo, Nigeria walifanya vizuri katika fainali za mwaka 1994 zilizofanyika nchini Marekani ambapo Super Eagles ilitinga hatua ya 16 bora baada ya kucheza mechi nne, ikishinda mara mbili na kupoteza mbili.

Nigeria ilikuwa na wakali kadhaa, akiwamo Emmanuel Amuneke ambaye alifunga mabao muhimu dhidi ya Italia na Bulgaria na kulifanya taifa hilo la Afrika kuwa tishio kwenye fainali hizo, ikiwa chini ya kocha Mdachi, Clemens Westerhof.

Kikosi cha Super Eagles kilikuwa na watu makini zaidi kwenye fainali ambapo mastaa, Finidi George, Rashidi Yekini na Daniel Amokachi walikuwa gumzo na kulitangaza vyema Bara la Afrika kwenye Kombe la Dunia.

Senegal

Hii itakuwa ni mara ya pili kwa timu hiyo ya Taifa kushiriki fainali hizo, baada ya kushiriki mwaka 2002 katika fainali zilizofanyika Japan na Korea Kusini.

Katika fainali hizo, Senegal na kikosi chake cha Simba wa Teranga, iliandika historia ya aina yake baada ya kumfunga aliyekuwa bingwa mtetezi, Ufaransa.

Senegal ilikomea robo fainali, lakini kasi waliyoanza nayo kwenye fainali hizo iliwapa

Timu hii inashika nafasi ya 30 kwenye orodha ya Fifa ikiwa nafasi moja chini ya Uholanzi. Hawakufuzu michuano ya 2010 na 2014 baada ya kushindwa mechi za mtoano baada ya hatua ya makundi.

timu nyingi zilizokuwa yana nao. Kikosi ilichokuwa kikinolewa ansa Bruno Metsu emu), kilikuwa na mastaa kiwamo fowadi El-Hadji mbaye alikuwa msumbufu abeki wa timu pinzani.

akuwa ni mara ya tano kwa yo kushiriki fainali hizo i baada ya mara ya kwanza ki fainali za mwaka 1978 a timu ya kwanza Afrika da mechi. a fainali hizo zilizofanyika Argentina, ‘The Eagles Of ge’ waliweza kuinyuka kwa mabao 3–1 mchezo wa mjini Rosario, lakini waa kisiki kwa kuchapwa 0 na Poland kabla ya mua tena na kutoka suluhu umani. hivyo, baada ya kushiriki izo, haikuweza kufuzu tena ada ya miaka 20 ilipofuzu a mwaka 1998, 2002 na a ilivyo kwa Tunisia, pia hii a ni mara ya tano kwa taifa iarabu kushiriki fainali hizo kani. mara ya kwanza timu hiriki fainali hizo mwaka izofanyika nchini Mexico, o iliishia hatua ya makundi a kushiriki tena fainali za 1986 ilipotinga hatua ya 16 kini mwaka 1994 na 1998 hatua ya makundi.

Mikel Obi

Misri

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.