AONYAPIA’ A CITY

Bingwa - - JUMATATU SPESHO -

ile iliyokuwa inafanya yote mambo yanaonekana kubo na pengine haitashangaza njia ambayo Mbeya Ciy ilipitia. imu zote 16 zinazoshiriki ligi mechi tisa ambapo kati ya eshinda moja pekee na kutoka ufungwa tatu. atika nafasi ya 10 kwenye igi ikiwa imejikusanyia pointi

ambavyo iliwatokea Mbeya a na ile hali ya kuruhusu waliokuwa tegemeo kwenye nza kuondoka na kujiunga na

Baadhi ya wachezaji hao ni Asante Kwasi ambaye amejiunga na Lipuli FC, Salmin Hoza na Benedict Haule (Azam), Emmnuel Mseja na Jamal Mwambeleko (Simba), Pius Buswita (Yanga) na wengineo.

Ni wazi kuwa timu yoyote inapowapoteza takribani nyota watano kwenye kikosi cha kwanza lazima itayumba na hata itakaposajili, itachukua muda kwa wachezaji wake wapya kuzoeana.

Hivyo kwa Mbao kuondokewa na nyota wake takribani saba wa kikosi cha kwanza ndiyo sababu kubwa ya kikosi hicho kuonekana kuanza kupoteza mwelekeo mapema katika ligi na wasipoangalia wanaweza kupotea kabisa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.