Kocha tenisi apania ubingwa BQ

Bingwa - - UCHAMBUZI/HABARI -

NA GLORY MLAY

KOCHA wa timu ya tenisi walemavu, Rizik Salum, ametamba kuibuka mabingwa wa mashindano ya wazi ya tenisi kwa walemavu ya ‘BQ Open’ yanayotarajiwa kufanyika Novemba 25 na 26 mwaka huu, katika Viwanja vya Gymkhana, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana wakati wakiendelea na mazoezi katika viwanja hivyo, Salum alisema wachezaji wake wana nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa kutokana na wachezaji hao kutambua ni nini wanafanya kwa wakati huu.

“Tupo tunaendelea na mazoezi ya kujiandaa na mashindano ya BQ Open, wapinzani wajiandae kikamilifu kwani tumejipanga kuibuka kidedea,” alisema.

Alisema wameshazisoma sana timu pinzani na kujua madhaifu yao, hivyo watatumia njia hiyo ili kuibuka na ushindi.

Mashindano hayo yatashirikisha

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.