Mabosi wa Arsenal watua kwa Zaha

Bingwa - - KOLAMU -

LONDON, England

VIONGOZI wa Arsenal wana mpango wa kutumia kitita cha pauni milioni 35 kumsajili Wilfried Zaha wa Crystal Palace.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 25, atatua Emirates kuziba pengo la Alexis Sanchez.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.