Mascherano: Kweli naondoka Barcelona

Bingwa - - KOLAMU -

CATALUNYA, Hispania

BEKI wa kimataifa wa Argentina, Javier Mascherano, amefichua kuwa ni kweli ataiacha Barcelona.

Baada ya tetesi za muda mrefu kuwa ataondoka, sasa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 ameamua kuthibitisha.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.