FELLAINI

kutimkia Besiktas mwakani

Bingwa - - KOLAMU -

MANCHESTER, England

MANCHESTER United wamekubali kumuuza kiungo wao raia wa Ubelgiji, Marouane Fellaini na atatua Besiktas Januari mwakani.

Dili hilo limetajwa kuwa litaiingizia Man United kitita cha pauni milioni 8 kwa mujibu wa mtandao wa Mirror.

Dili hilo limetajwa kuwa litaiingizia Man United kitita cha pauni milioni 8 kwa mujibu wa mtandao wa Mirror.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.