Wakala: Savic hatui Man City

Bingwa - - KOLAMU -

MANCHESTER, England

WAKALA wa kiungo Sergej MilinkovicSavic, Mateja Kezman, amesema hakuna ukweli kwamba nyota huyo atatua Man City.

Kwa mujibu wa wakala huyo, bado Savic ni mchezaji wa Lazio kwa sasa, hivyo mambo mengine baadaye.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.