Juve yapiga hodi kwa Bellerin

Bingwa - - KOLAMU -

JUVENTUS wametuma wawakilishi wake kuzungumza na beki wa kulia wa Arsenal, Hector Bellerin.

Bellerin, pia yuko kwenye mipango ya muda mrefu ya klabu ya Barcelona, hivyo Juventus wanaweza kukutana na ugumu katika zoezi la kuinasa saini yake.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.