Alcantara apanga kuondoka Bayern

Bingwa - - KOLAMU -

MUNICH, Ujerumani

IMERIPOTIWA kuwa kiungo, Thiago Alcantara, anataka kung’oka Bayern Munich aliyojiunga nayo mwaka 2013.

Alcanatara ana mkataba unaomtaka kubaki Bayern hadi mwaka 2021 lakini hilo halimzuii kutimka.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.