Nacho amtetea Lopetegui

Bingwa - - EXTRA -

MADRID, Hispania

BEKI wa Real Madrid, Nacho, alizungumzia hali iliyopo ndani ya kikosi hicho hivi karibuni kwa kushindwa kupata matokeo ya ushindi, lakini alisema wachezaji wote watapigania kazi ya kocha wao mpya, Julien Lopetegui.

Lopetegui alijiunga na mabingwa hao wa Ulaya akitokea katika kikosi cha timu ya Taifa ya Hispania kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia zilizofanyika nchini Urusi, Juni mwaka huu.

“Mpaka sasa tupo nyuma kwa pointi mbili tu dhidi ya wanaoongoza Ligi Kuu, pia tupo kwenye michuano mingine na tutapambana kwa ajili ya timu na kocha wetu,” alisema Nacho.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.