Monaco wamtaka Thierry Henry

Bingwa - - EXTRA -

PARIS, Ufaransa

TIMU ya Monaco imeanza kufanya mazungumzo na mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Thierry Henry, 41, ili aweze kuchukua mikoba ya kocha wao, Jardim. Kigogo huyo amekuwa akihusishwa pia na timu ya Aston Villa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.