Spurs wakomaa kwa Ndombele

Bingwa - - EXTRA -

LONDON, England

TIMU ya Tottenham inaripotiwa kuendelea na mpango wao wa kumsajili kiungo wa Lyon, Tanguy Ndombele. Taarifa zinaeleza kwamba Spurs wanaitaka huduma ya staa huyo kuanzia wakati wa dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Januari mwakani.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.