Kiwango kumbakiza Sane Man City

Bingwa - - EXTRA -

LONDON, England

TIMU ya Manchester City imepanga kuanza mazungumzo na winga wao, Leroy Sane, ili kumshawishi aongeze mkataba mpya. Man City wanaripotiwa kufikia hatua hiyo baada ya nyota huyo raia wa Ujerumani, kurejea kwenye kiwango chake cha zamani.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.