Kitasa mahiri Italia atakiwa Chelsea

Bingwa - - MAKALA/HABARI -

LONDON, England

VINARA wa Ligi Kuu England, Chelsea, wanataka kufanya kweli kwa beki wa kati wa timu ya AC Milan, Alessio Romagnoli, ambaye pia ananyatiwa na Man United.

Romagnoli amekuwa hana uhakika wa namba katika kikosi cha kwanza cha kocha, Genaro Gattuso.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.