Eric Bailly anukia Tottenham Hotspurs

Bingwa - - MAKALA/HABARI -

LONDON, England

WAPINZANI wa jadi wa London, klabu za Tottenham na Arsenal, zimetajwa katika vita ya kuigombania saini ya beki wa kati wa Man Utd, Eric Bailly.

Beki huyo amehusishwa kutaka kuondoka Old Trafford na tetesi hizo zimeamsha miamba ya soka yenye uhitaji wa mabeki.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.