Durant: LeBron kurejea Lakers imenoga kinoma

Bingwa - - HABARI -

STAA wa Golden State Warriors ya Ligi Kuu ya Kikapu ya Marekani (NBA), Kevin Durant, ameeleza kukoshwa kwake na kitendo cha LeBron James kujiunga na Los Angeles Lakers.

Lebron, aliyekuwa Cleveland Cavaliers, alirejea Lakers wiki chache zilizopita na kusaini mkataba wa miaka minne na miamba hiyo.

"Ni jambo la kufurahisha kwa mashabiki wa Lakers kumuona LeBron pale,” alisema Durant, akimzungumzia Lebron, ambaye katika mechi za maandalizi ya msimu huu akiwa na Lakers alikuwa na wastani wa kufunga pointi 13 katika kila mchezo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.