Terry apata shavu Aston Villa

Bingwa - - HABARI -

LONDON, England

KLABU ya Aston Villa imeteua kocha wake mkuu wa kukinoa kikosi hicho, Dean Smith, huku nafasi ya usaidizi ikichuliwa na mchezaji wa zamani wa Chelsea, John Terry.

Dili hilo lilionekana kumfurahisha hata rais wa timu hiyo, Christian Purslow, ambaye alisema kwamba ujio wa Terry utasaidia klabu kupata maendeleo, ikiwa ni pamoja na kupanda Ligi Kuu ya England.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.