Real Madrid yamfungia kazi Raheem Sterling

Bingwa - - MISIMAMO RATIBA -

MANCHESTER, England

WABABE wa Hispania, Real Madrid, wameanza kufanya mipango ya kuhakikisha wanamchukua winga machachari wa Man City, Raheem Sterling.

Kwa sasa Sterling anaendelea na mazungumzo ya mkataba mpya katika klabu yake ya City, huku Madrid wakisikilizia.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.