SAMUEL ETO’O

ALIIPONDA CHELSEA, HALAFU AKAKUBALI KUSAJILIWA NAO

Bingwa - - MAKALA/HABARI -

NYOTA wa zamani wa miamba ya soka ya Barcelona, Samuel Eto’o, amekuja Tanzania baada ya kupata mwaliko wa kuja kuzindua uwanja wa mpira eneo la Oysterbay, unaojengwa na Kampuni ya TBL.

Mkali huyo anakumbukwa kwa mabao yake makali katika michuano yote ambayo aliwahi kushiriki, kwanza hebu tiririka na mambo haya 10 usiyoyafahamu kumhusu Eto’o.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.