AC Milan yamnasa ‘Ricardo Kaka’ mpya

Bingwa - - MAKALA/HABARI -

MILAN, Italia

MABINGWA mara tano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, AC Milan, wameipiku Liverpool katika vita ya kuwania saini ya kiungo wa Kibrazili, Lucas Paqueta.

Paqueta, anayefananishwa na Ricardo Kaka, atatua Milan kwa kitita cha pauni milioni 30 akitokea Flamengo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.