JUVE

WAMWANDALIA OFA NONO AARON RAMSEY

Bingwa - - MAKALA/HABARI -

TURIN, Italia

KLABU ya Juventus imejiongeza kwenye vita ya kumfukuzia kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey, anayetakiwa pia na Liverpool na Chelsea mara tu baada ya mkataba wake kufikia tamati.

Ili kumshawishi nyota huyo aje kwao, Juve wameandaa ofa ya mshahara wa pauni 250,000 kwa wiki.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.