Penzi la Mkurya Mchaga

Bingwa - - IJUMAA SPESHO -

Hii ni filamu inayohusiana na wapenzi wawili ambao mwanaume ni kabila la Mkurya na mkewe ni Mchaga. Filamu hii ambayo inafanya vizuri kwa sasa imetoka mwaka huu ikiwa imechezwa na Selestine William, Diana Kimaro, Hussein Abdallah na wengine wengi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.