KIKAPU

Bingwa - - IJUMAA SPESHO -

LIGI ya Daraja la Kwanza ya mpira wa kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (RBA Div-1), inaendelea kesho kwa michezo saba kupigwa kwenye Viwanja vya JMK Youth Park, vilivyopo Kidongo Chekundu.

Mechi ya kwanza itazikutanisha Dar Warrior na Ukonga, Chui watachuana na External, Segerea dhidi ya Udsm Outsider, Kigamboni na Srelio, KR-1 na Bahari Beach, Cavaliers watacheza na Mgulani, Tm Rockets na Yellow Jackets.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.