WAVU

Bingwa - - IJUMAA SPESHO -

MASHINDANO ya mpira wa wavu ya Mwalimu Nyerere yanatimua vumbi kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, jijini Dar es Salaam, kwa kushirikisha klabu mbalimbali za Tanzania na Kenya.

Michuano hiyo iliyoanza juzi, inatarajia kumalizika keshokutwa, huku mechi 10 zikitarajiwa kuchezwa leo na 11 kesho. Baadhi ya michezo ya leo, maafande wa JKT watakutana na Jeshi Stars, Pentagon na Chui, CCVC watacheza na Magereza.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.