Fury: Nitamzimisha Wilder mapema tu

Bingwa - - HABARI -

KUELEKEA pambano lao la Desemba Mosi, mwaka huu, mabondia Tyson Fury na Deontay Wilder wameendelea kuwa gumzo katika mitandao yao ya kijamii, kila mmoja akitamba kumlaza mapema mpinzani wake.

Safari hii, ni Fury ndiye aliyelianzisha, akiwaambia mashabiki wa Wilder wajiandae kumuokota bondia wao sekunde chache baada ya mwamuzi kulianzisha pambano lao litakalofanyika jijini Los Angeles.

Fury ametamba kumdunda mwenzake huyo kwa ‘KO’, licha ya kukiri kuwa anakutana na mmoja kati ya mabondia

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.