Messi kuanzisha kipindi cha maisha yake?

Bingwa - - HABARI -

CATALONIA, Hispania

MFALME wa Camp Nou, Lionel Messi, yupo mbioni kuanzisha kipindi cha maisha yake binafsi kitakachokuwa kinarushwa kwenye televisheni, chini ya kikundi cha wasanii cha Cirque du Soleil.

Messi mwenye umri wa miaka 32, alituma ujumbe kuhusu kipindi hicho ambacho kitaanza hivi karibuni huku kampuni ambayo itasimamia mpango huo ikijivunia kufanya kazi pamoja na mkali huyo wa soka kwa mara ya kwanza.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.