Ronaldo imetengenezwa

Kumbe kashfa ya

Bingwa - - HABARI -

MWANASHERIA wa nyota wa miamba wa soka wa Italia, Juventus, Cristiano Ronaldo, amesema nyaraka zilizotolewa kuhusiana na kashfa ya ubakaji ambao unamhusu nguli huyo ni wa kutengenezwa.

Kathryn Mayorga alimtuhumu Ronaldo kuwa alimfanyia tendo la ubakaji kwenye hoteli moja Jijini Las Vegas, mwaka 2009 tukio ambalo nyota huyo alikana na kudai kuwa ni ‘kiki’ tu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.