MANCHESTER UNITED YAMTAKA JORDI ALBA

Bingwa - - HADITHI -

KLABU ya Manchester United imeripotiwa kuvutiwa na dili la kumsajili beki wa kushoto wa Barcelona, Jordi Alba, ambaye amekwama kusaini mkataba mpya na vigogo hao wa Hispania.

Mtandao wa Mundo Deportivo umesema United wameamua kukaa mkao wa kula wakisubiri kutupa ndoano.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.