Mjapan kukipiga Ligi Kuu England

Bingwa - - SPORTS - LONDON, England

UONGOZI wa Southampton unaangalia uwezekano wa kumsajili straika wa kimataifa wa Japan, Shoya Nakajima.

Tayari Southampton wametajwa kutenga kitita cha pauni milioni 15 kumsajili nyota huyo anayeichezea Portimonense ya nchini humo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.