Guardiola akiri mwamuzi aliwabeba

Bingwa - - SPORTS - MANCHESTER, England

PEP Guardiola amesema aliona kabisa kuwa hawakustahili ‘tuta’ katika mchezo wao dhidi ya Shakhtar Donetsk lakini aliamua kuuchuna.

Kocha huyo amekiri kuwa Raheem Sterling alijiangusha katika eneo la hatari dakika ya 24 ya mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, lakini mwamuzi Viktor Kassai, akadhani alichezewa rafu. "Huwa hatupendi kufunga mabao kwa staili hiyo…” alisema Guardiola na kuongeza kuwa mwamuzi wa kati anapaswa kusaidiwa kwa mchezo wa soka una kasi. Kauli hiyo inamaanisha kuwa ni wakati mwafaka sasa kwa Shirikisho la Soka la Ulaya (Uefa), kuitambulisha teknolojia ya VAR ambayo mwamuzi huwa na fursa ya kurudia tukio kupitia video anapohisi kuna

Msimu wa 2015–16, akiwa na Liver, aliifikisha Liver fainali ya Kombe la Ligi (Carabao Cup). Katika hatua hiyo, walikutana na Manchester City.

mkanganyiko.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.