Akataa kufananishwa na Xavi

Bingwa - - SPORTS -

CATALUNYA, Hispania

HIVI karibuni, mkongwe Xavi alimmwagia sifa kiungo mpya wa Barcelona, Arthur Melo, akisema anafanana naye kiuchezaji.

Hata hivyo, Arthur mwenyewe ameibuka na kupingana na kauli hiyo, akisema: “Mimi si Xavi wala (Andres) Iniesta, mimi ni Arthur.”

Arthur aliyetua Barca akitokea Gremio ya Brazil, ambapo ada ya usajili wake ilitajwa kuwa ni euro milioni

40, wachambuzi hasa amekuwa kwa uwezo wa akisifiwa na soka Ulaya, wake wa kupiga pasi.

Kwa mujibu wa mtandao wa WhoScored, asilimia 94 ya pasi zake huwafikia walengwa, uwezo aliokuwa nao Xavi na kuifanya safu ya kiungo ya Barca kuwa tishio.

Fabinho:

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.