COMING SOON KIFICHO

Bingwa - - SPORTS -

Filamu hii inatarajiwa kutoka hivi karibuni japokuwa imekutwa na changamoto kubwa sana baada ya mhusika mkuu, Amri Athumani ‘King Majuto’, aliyecheza kama Mzee Kimwaga kufariki akiwa ameigiza robo tatu ya filamu hiyo na kushindwa kumpata mtu atakayemalizia vipande vilivyobaki na ndipo ilipobadilishwa jina kutoka Subira hadi kuitwa Kificho.

Pamoja na marehemu King Majuto wengine waliocheza filamu hiyo ni Suleiman Barafu, Fransisco Mwinuka ‘Piere’, Shani Mfuko na wengineo

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.