Mikel Obi NJE MSIMU MZIMA

Bingwa - - MAKALA - LAGOS, Nigeria

KIUNGO wa timu ya Taifa ya Nigeria, Super Eagles, ambaye pia anakipiga kwenye klabu ya Tianjin ya nchini China, atakosekana dimbani msimu mzima baada ya kusumbuliwa na majeraha.

Ofisa mawasiliano wa Shirikisho la Soka la Nigeria, Ayo Olu, alithibitisha kuhusu ripoti ya kiungo huyo aliyewahi kukipiga pia kwenye klabu ya Chelsea.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.