Mshambuliaji Ufaransa kicheko kuitwa Arsenal

Bingwa - - SPORTS - LONDON, England

MSHAMBULIAJI wa pembeni wa Lille, Nicolas Pepe, ameonesha kukunwa na tetesi za kutakiwa na klabu ya Arsenal.

Pepe mwenye umri wa miaka 23, amewaambia Gunners wawafuate mabosi wake wa Lille ya Ligi Kuu ya Ufaransa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.