Kipa Ajax ajipa lawama kibao

Bingwa - - MAKALA - LISBON, Ureno

MLINDA mlango wa Ajax, Andre Onana, ametambua makosa yake aliyofanya baada ya timu yake kutoka sare ya bao 1-1 wakati walipokuwa wanacheza na Benfica kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa kuamkia jana.

Onana alifanya kosa hilo langoni mwao na kuwapa nafasi wapinzani wao kuuweka mpira kimiani kwa kuzunguka bila ya sababu huku akiwa na presha ya kushambuliwa eneo la hatari badala ya kuzua mpira usiingie kambani.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.