Liverpool, Newcastle zaoongoza kwa vimeo

BURUDANI - - HABARI - LONDON, ENGLAND E. Riviere. Nafasi ya pili ya timu yenye majeruhi wengi ni Manchester City, Tottenham Hotspurs na Bournemouth ambazo zina majeruhi sita kwenye vikosi vyao. Machenster City imekumbwa na tatizo hao baada ya nyota wake wakiwemo Sergio ‘Kun’

Sturridge

Wilshere

WAKATI michuano ya Ligi Kuu Eng land ikiendelea kushika kasi, huku kila timu ikiwa imecheza mechi tisa, baa la majeruhi limekuwa sehemu ya mambo yanayopunguza ladha ya mashindano.

Katika Ligi hiyo ambayo inashirikisha timu 20, kinara akiwa Manchester City yenye pointi 21, timu zote zimekumbwa na majeruhi isipokuwa Swansea City.

Swansea City chini ya kocha Garry Monk, imeingia kwenye rekodi ya kucheza michezo tisa bila ya majeruhi yoyote.

Timu hiyo ambayo haijaonyesha mchezo mzuri katika michezo yake,imeonekana kuwa na nidhamu na umakini, hali iliyoifanya kutokumbwa na majeruhi.

Ifuatayao ni orodha ya klabu ambazo zina majeruhi wengi, katika michuano hiyo.

Liverpool na Newcastle United, ndizo timu zinazoongoza kwa majeruhi mpaka sasa.

Zina wacheza tisa walioumia katika michezo tisa ambayo tayari imeshacheza.

Danny Sturridge, Dan Ings, J. Gomez, Robert Firmino, Christian Benteke, Jordan Henderson hao ni baadhi ya nyota wanaosumbuliwa na majeraha kwa Liverpool huku Newcastle United ni Steven Taylor, K. Mbambu, Tom Krul na

Aguero

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.